Mods Tunaomba JUKWAA LA WAKUBWA......!!!!!!!!

Mr. Shark

Senior Villager
#1
Za asubuhi jamani,

Niwashukuru mods wa KT kwa kuamua kutusitiri huku ugenini wakati tunasubiri hatima ya kwetu nyumbani. Sasa basi nimepitia majukwaa yote kuna Jukwaa naona kama limesahaulika, lile tunalokutanaga "Wakubwa" na kuanza kupeana vitu fulani hivi amazing. Kule kwetu ilikua Jukwaa hili unaingia at your own risk baada ya kutuma maombi kwa mods.

Hili ni ombi tu, hata angalau tuzidi kujisikia kana vile tuko nyumbani kabisa,
Ahsanteni
 
#4

Lipo shemela lipo pm @The Tweet akupe access
 
reyzzap

Senior Villager
#11
watu mna roho mbaya , kumbe kuna jukwaa la wakubwa kuanzia jf wengne hatujui, mbona majukwaa kbrbun yote nayafaham ila hlo sijawah hata kuliona? Au ni invisible?. Kuna nini huko wakubwa? Isije ikawa wakubwa mnagawana vipande vya nchi kimya kimya.
 
Mr. Shark

Senior Villager
#12
watu mna roho mbaya , kumbe kuna jukwaa la wakubwa kuanzia jf wengne hatujui, mbona majukwaa kbrbun yote nayafaham ila hlo sijawah hata kuliona? Au ni invisible?. Kuna nini huko wakubwa? Isije ikawa wakubwa mnagawana vipande vya nchi kimya kimya.
Ha ha haa,
Kule kuna mambo fulani hivi amazing, vitu adimu adimu, kuingia ni kwa kuomba ruhusa pia at your own risk
 
Top