Mogadishu

Stadium being renovated for the 1st time since 1991 following the collapse of Siyad Barre regime
[ATTACH=full]203252[/ATTACH]
[ATTACH=full]203253[/ATTACH]
[ATTACH=full]203254[/ATTACH]
[ATTACH=full]203255[/ATTACH]
[ATTACH=full]203256[/ATTACH]
[ATTACH=full]203257[/ATTACH]
vita si muzuri wadau

Bingwa scrotum atalisha ngamia wapi

hii alshabab watakuja bomoa

hehehe, only in this village, crazy humor ambaye wageni hawawes elewa. hope umevaa helmet tatu za kevlar

Al shabaab walipiga marufuku soccer so sijui hii itaenda wapi.

Police officer ensuring that people enjoy themselves at Liido Beach in Mogadishu peacefully
[ATTACH=full]203263[/ATTACH]
somalia coastline is larger than ours, if they get their act together watalii watapungua

alshababes hawana makali sasa, their support is fading fast.
Do you remember Mohammed Farah Aideed, the one who took over in 95

Tulisema hapa awhile ago that sio somali yote iko vita or under Al shabaab. By the way Alshabaab kule somali huwa wamejificha mbaya kwanza after USA started sending drones unannounced…Mnaskianga tuu an US drone killed several alshabaab militants last night…alafu story inakanyagiwa ivo…after afew weeks unaskia a similar story.

Good for them, mogadishu is actually a beautiful place

hehe the whole country is a coastline enyewe apa wanaeza tupiga competition mbaya

cheki huyo pamba, he looks US trained

Zanzibar is an Island bt bado Kenya is ahead of them ki-tourism. Alafu Somalia walishaji chomea picha kitambo. Imagine if Kenyans wanaona Somalia ni ngori na je mzungu who is miles away

Hehe, usidanganywe na nguo. Hata Jowie alisema tu hivo

USA tangu black hawk down walisema hawataki ground attack tena…mchezo ni kwa hewa. Drone hata usiku iko chonjo mbaya…waria bingwa na kiyambis yake kubwa ako pale anapiga patrol na jeshi yake ya alshabaab usiku akifikiri wako in the cover of darkness kumbe ile drone ina night vision inawaona vizuri…it’s just a matter of mwenye anacontrol the drone to say “target found, requesting for permission to engage”

Kumbe Somaliland ilikuwa under British Rule na after Independence they joined the greater Somali forming one nation.

i know swveral Kenyans with beautiful contracts za mjengo and telecommunications huko, wananikisha kitunguu proper

Huyo karao looks professional and disciplined unlike hawa wetu.

[ATTACH=full]203270[/ATTACH][ATTACH=full]203271[/ATTACH]

Paid in Somali currency or in USD? I think I would insist on being paid in USD

[ATTACH=full]203272[/ATTACH]