Mombasa to Mariakani Highway upgrade

This is to let you know that I was really impressed na hio kazi wanafanya hao contractors. Walianzia with the most difficult section of the road, a marshy area at Mikindani Junction all the way to near Mataa ya ndege, and I swear to the heavens, it’s really difficult this section! Wanaoishi Mikindani, Jomvu, Miritini, etc, can bear witness to this.

Ile style niliona sijaona kwingine. First they build the road the normal way, as properly as though there is no other business! Then over and on top of the tarmac, ambayo imetandikwa vizuri sana, wanaweka concrete about 8 inches thick!!! Kumaanisha hiyo Barabara itaharibika mara ya kwanza, kwa taadhmini yangu, after 2118! Haki ya Mungu sisemi uongo!

Here are poorly taken photos. Aliye na picha nzuri atusaidie nazo. [ATTACH=full]177075[/ATTACH][ATTACH=full]177075[/ATTACH][ATTACH=full]177079[/ATTACH][ATTACH=full]177080[/ATTACH][ATTACH=full]177082[/ATTACH]

I took the pictures in a moving vehicle. Next time nitashuka nipige picha nzuri. But, believe me, hiyo Barabara itakua best!

best tunajuwa ni mzinga

Xaxa @spear

Niaje Spear.

Hii si kazi ya @spear! Hii ripoti ni ya someone who is very critical of this very hypocritical government of ours! Tusisahau zile tingatinga zoote na fanfare tulizoonyeshwa pale Athi River eti Athi River to Machakos Junction inajengwa pronto. Mpaka leo hakuna kinachoendelea almost 12 months later! This is an honest review, my Friend!

You saw 8 inches of concrete and became an engineer, a seer, and a tractor.

Hii ndio tunaita Rebranding?

:D:D

give the guy some credit…he owns a pinhole cam with HD capture:D:D

matapaka this is progressing very well

Give credit where it’s due.

Na hiyo pepo ulio nayo ya kiburi ishindwe kabisa!

Pole kaka.

:D:D:D na c umekua mpole haraka…ama the exorcism worked?