Momo Naleta Shida

Status
Not open for further replies.

Davidee

Village Elder
#13
Nimekua nikisisitiza ya kwamba hii mambo ya kiroho si mchezo...probably hao ni watu wenye cheo na wanaheshimika sana kwa company zao lakini mambo ya mapenzi inafanya wakue kama watoto...sio kupenda kwao mapenzi sio mchezo.
 
DI TICHA

Village Elder
#20
Nimekua nikisisitiza ya kwamba hii mambo ya kiroho si mchezo...probably hao ni watu wenye cheo na wanaheshimika sana kwa company zao lakini mambo ya mapenzi inafanya wakue kama watoto...sio kupenda kwao mapenzi sio mchezo.
Guy works at PWC as a private consultant, Chiq at KCB and she heads some department there......Shida ni; Pesa ya buda huyu dame imeingilia wapi kwa hii relationship??Like she said "My dad is worth 20Billion"..........and whats funny wamerudiana na eti they so in Loooooove........Sijui ka ni mimi but dame wa kubehave hivyo kwangu na kunichapa kofi ka hiyo, siwes sahau.....itaishi kunihaunt.........Could it be Lazima waishi coz maybe ata the guy huget favours/assistance from her folks na hii livity??Hadi inambidi kumaintain and compromise shameful acts ka hizi...... WACHA TUSEME CHALI ANA SHIDA.......Coz fact ni eti amekaliwa ile serious.....
 
Status
Not open for further replies.

Top