More on Losses...auctioneer hammer

[MEDIA=twitter]909651351419973632[/MEDIA]

Biashara imepungua.

Kwanza hio Garam Investments hua kwa gazeti karibu daily

Choices have consequences.

When giants like Nakumatt, tuskys darling kenya and other major
Big industry players are struggling.

How do I make my makeshift biz stay afloat?

jubilee imaharibu economy:(

2 Likes

Watu walicampaign na mbesha ya loan.

2 Likes

Most kwa hiyo list ni magari. I’m thinking ni za uber ama kitu kama hiyo.
Nyumba saa hii ni bei nafuu kabla bank zikuje next month kuchota

1 Like

Hizo gari ni salvage baba

True biashara ziko chini saana, people don’t have liquid cash. Hii mwaka yote imekuwa mbaya. We should do away with this elections the earliest possible

1 Like

[ATTACH=full]126647[/ATTACH]

2 Likes

Watu wa loan hugongesha magari ndio wasilipe loan

Acha ufala.ukigongesha si pesa yako inapotea.deposits pia zinaenda?

Lakini hautakuwa kwa CRB juu ya default. Insurance inalipa. Read the story about a group of matatu owners who’d taken Toyota Kenya to court…similar scenario

Lakini Hino ziko na shida bana

wenyenchi wameshanunua bentyaga…sawa tu

My neighbor’s car got repossessed Jana.
The economy sucks my friends and things won’t change for the better anytime soon. Brace yourselves.

1 Like

Biashara [SIZE=1] zingine[/SIZE] iko poa. @mayekeke kam kiasi uniongezee punch nikuwe millionaire wa ukweli
[ATTACH=full]126747[/ATTACH]

1 Like

:eek::eek::eek::eek: biashara gani hio na vile kumekauka…

1 Like

:smiley: ya kujaribu tu…a kikuyu proverb.

1 Like
  1. Election year cycle.
  2. Capped interest rates & cartels fighting back, worst still in an election year! They bankroll watu wao then deny SME’s credit under the guise of reason 1 above.