Ndiyo mzito anaamka sasa after Dry Fry usiku yote. [ATTACH=full]90150[/ATTACH]
do people understand the meaning of +18 ?
or bananas are xrated
very healthy my fren
Baga… Unachemsha damu ya watu bure
[ATTACH=full]90156[/ATTACH]
hio nduma iko on point tho
you must have a lot of plates…
Dry fry usiku yote meaninin hujalalala so waamuka kufanya nini?
Dry fry is overated i guess.
You don’t seem like someone who can achieve threshold as per our standards.
Anyway who am i.
hio ni nini sasa? asubuhi unaamkia ugali ilibaki jana usiku
Closet burnt down, bananas na morning glory, huyo anafanya reverse kawasaki…
appetizing, never thought I would say that about your meals
leo umetry sana, hii ni breakfast mzuri. Lakini ongeza teabag kwa hio chai… …Thwariga ino
balanced diet kasee …
Mzee uko na miaka 90 hi dunia na uko na sahani mbili pekee???
hapana, in my work bachelor pad i have two sets of very fine china dinner plates (with their matching bowls and side plates!) and complete sets of cutlery. kwa hivyo hiyo notion kwamba nina sahani mbili umejijazia from unavailable data. Lakini huyu jamaa kila siku he is photographing his dinner in a different kind of plate so na-wonder…
p/s hapo pa miaka ume-exaggerate kidogo…:D:D:D:D:D
Kihii leo umejaribu sio zile food za dogi unaekaga hapa.
Has it ever occurred to you that maybe this guy is a houseboy or a waiter somewhere in this big wide world and all he photographs are OPP?
yeye hukula Njogu-Ini hotel
Njogu-ini is a urine smelling stinky drinking hole not a hotel.
Congrats Kihii umejua kupika…sasa enda ukatahiri threshold ya ujinga ipunguke