Most happening place in Eldy

Wandau…natarajia mumekaa na amani na imani.

Naomba watu mniambie where the most happening place is in Eldy where fine ghels hang out to dry and/or quench their thurst!?

Otherwise i hope you are all good.
[Spoiler]
[ATTACH=full]189888[/ATTACH]
[\spoiler][/Spoiler]

Jaro Soja hapo sawa. Picha swafi

and talking of tissues,huwa naona wamama wakizungusha maroll kubwa sana ya tissues huwa wanauza mia ,so nauliza wewe ni faida kuzinunua kuliko zile za kawaida?

Tafuta @Budspencer na urudishe ya wazee, he will advice accordingly. Lakini mbio utilize at the home of champions, kuna champions in many known and unknown fields there.

Ahhh,The Blank Templar. How are you…

i am demanding my share of finders fees ama nimuone @Randy ni persuade him aningawiye?

Kuna ingine different angle…lakini sitaweka hio hadi mseme base ni gani!

@Buuuuuuuuuuuuuuuuuudspencer uko wapi uokolee situashen!

I am very good @ballsack how are you?

Hehehehe…
Habari za uko kwenyu?

Umepotea sana saidi.

Karibu sana templar, zibwage hekaya za ulikokuwa

@purple amesema unipatie zangu ama niland juja and persuade you polepole unipatie zangu?

Wewe ni nani mseh!?

mimi Eldy I am green matters clubs. Uliza kina mwizi bora na buspencer

Native son hii persuasion ni gani? Kama mwanaume hataki hataki, hii persuasion yako ni fiche…kwani umevuka boda?

Hehehe… kesho come apo new rain nitakusort.

Club signature. Main highway. Ongeza angle nishughulikie bibi omwami

7,000 miles from huko, lakini I can advice. Kama unataka kunguru Ile swafi kabisa working class lawyers, bankers and docs ingia Bamboo Club ama Rumours near Poa place. Kama Ni kunguru hustler ya pilau then enda Relax Inn near langas. Ukitaka wale wa kusambaza gonorrhea resistant enda Paradise and Belasco. Hope it helps

:eek::eek: