moto wa kuotea mbali

#1
why dont the government introduces first aid lessons in school..
juu kuna situation nimejipataa accident happens na hakuna mtu anajuwa First aid...na hii kenya yetu ata 911 emergency dont work....

scenario one

we were still in primo, wakati wa break time kwa pit ya takatakaa tulikuwa tunacheza game,nani anaweza ruka across..
na munajuwa izo pit za shule vile zilikuwa kubwa . sasa sparta na crew yake tuka amua kuruka while makaratasi inachomeka ....kitu ya kwanza ilikuwa kutoa pullover ndio isipate harufu ya smoke (pia tukienda choo tulikuwa tunatoa)

sparta ndio alikuwa wa kwanza....nikaruka succesfully ...thou the heat ilikuwa mingi l felt it....jeshi yangu kuona nimeruka na wao waka anza.... student kama tano wakaruka vizuri,,,then turn ya stevo ikafika ...

uyo stevo akaruka vizuri lakini landing hakupataa footing vizuri...mguu moja iliteleza na stevo kuanguka kwa moto...kumbuka ni plastic papers zinachomeka ....ile nduru jamaa alitoa...tukajaribu kumvutaa lakini moto ilikuwa too much...some students wakakimbia stuff room kuita walimu ...
stevo uku anaungua tu...na kujiviringa viringer tu...after like 30 sec student wengi walianza kupotea wakipiga nduru...sparta naye akapanic sijawai ona mtu akichomeka.....sasa ile kitu ilifanya achomekee vizuri ni vile anajaribu kuruka ana anguka tena na flame inaongezekaa..

finally mr. mbugua ndio alikuja na kuingia kwa freno kama superman na kutoa uyo boy...boy amechomeka hadi nywele ...after kilio akanyamaza ...we thought he was dead...uyo mwalimu alichomeka mikono pia.... jamaa alipelekwa hosi....aka kaa 3 months....his face was never the same again....lakini ile vita tulipewa staff room wale wote waliruka usitakee juwa :(
 
Meria Mata

Elder Statesman
#5
ipii ni ipii tu, tukiwa class 6 kaa tunafanya somasaults kuna kipii kimoja kililand na kichwa neck ikaingia ndani ya shoulders by a few centimeters, tulijaribu kuvuta lakini wapi, ata mpaka leo ako hivo, if you have ever met a guy with a very short neck jua ni yeye, his shoulders and jaws are the same level
 
Eng'iti

Village Sponsor
#6
Boys will be boys, even wazees.
Scenario 1.
Niko 2016 Dec kutembea na Engiti Senior kwa kijiji Kucheki msee flani kumpa 'pole' kwa masaibu flan. Kidogo tukitembea kwa njia nikaona ameokota mawe Dimanga kama ametoka mbio. Mzee kumbe ana kimbiza Paka Nyeuthi Akiii chocha Meffi Paka Nyeuthi. Akarusha mawe paka ikaingia ndani ya mahindi. Sijai cheka ka io siku.

Scenario 2.
Jana nikienda Roadwork jioni nikapatana tu toi tutatu tumeshikana wreso. Wakaona tu umbwa tuwili bado waki wrestle, wakaacha na kuanza kukimbiza uto tu umbwa. Zile mawe izo umbwa zilinyeshewa nazo wacha tuu. :D

Without a boychild the world is incomplete
 
byro

Village Elder
#8
Unfortunately our kids are not experiencing these kind of games, though some were fatal, they made our days
si lazima iwe ni games za watoto....you are in town running errands and epileptic guy falls, or in lift and suddenly the next guy falls due to heart attack, or the diabetic guy, how will you help? maybe you will but majority of Kenyans don't know shit about bandaging simple cuts.
 
#9
ipii ni ipii tu, tukiwa class 6 kaa tunafanya somasaults kuna kipii kimoja kililand na kichwa neck ikaingia ndani ya shoulders by a few centimeters, tulijaribu kuvuta lakini wapi, ata mpaka leo ako hivo, if you have ever met a guy with a very short neck jua ni yeye, his shoulders and jaws are the same level
:D:D:D:D:D ata mpaka leo ako hivo:D:eek:
 
#10
ipii ni ipii tu, tukiwa class 6 kaa tunafanya somasaults kuna kipii kimoja kililand na kichwa neck ikaingia ndani ya shoulders by a few centimeters, tulijaribu kuvuta lakini wapi, ata mpaka leo ako hivo, if you have ever met a guy with a very short neck jua ni yeye, his shoulders and jaws are the same level
kuna kipii kilikuwa kinatisha mama yake kitajirusha kwa shimo ya maji....kikaa ingiza miguu na kushika kamba kikitisha mama yake .....unfortunately rope ikakatika fell over 100Fts hadi leo l dont know how that kipii survived ....his name is Nyofo
 
Meria Mata

Elder Statesman
#11
kuna kipii kilikuwa kinatisha mama yake kitajirusha kwa shimo ya maji....kikaa ingiza miguu na kushika kamba kikitisha mama yake .....unfortunately rope ikakatika fell over 100Fts hadi leo l dont know how that kipii survived ....his name is Nyofo
vipii niza mungu, kumbuka kariaria, ile sap ya mti fulani tulikua tunapaka kwa foreskin, weuh. ilikua lazima ikatwe hio siku.
 
Chloe

Village Elder
#12
ipii ni ipii tu, tukiwa class 6 kaa tunafanya somasaults kuna kipii kimoja kililand na kichwa neck ikaingia ndani ya shoulders by a few centimeters, tulijaribu kuvuta lakini wapi, ata mpaka leo ako hivo, if you have ever met a guy with a very short neck jua ni yeye, his shoulders and jaws are the same level
:D :D :D :D :D
 
#19
alafu hata kizunguzungu hatukua tunaskia
kuna place inaitwa Hotani valley inakaa V tulikuwa tunaenda kuride bike siku moja jamaa akajaribu bike bila brake ati atakanyagaa na slippers .....bike ilienda over 160k/ph ikavujika metal ile ime attach mguu ya mbele na nyuma....boy alikula lami na forhead kichwa iKanyolewa ngozi na kupataa fructures na mikono na miguu boy alipataa over 8 fructures, vipii kuona ivo zikakimbia juu mama yake ni thitima.. .jamaa alilala kenyatta miezi kadhaa
 
Top