Anyone know a good company that can help me source,import and register motorcycles in Kenya
Unataka kuanza kuuza??
Zii.nataka tu moja.
Si ununue local
Labda anataka ile Ducati ya 1040cc… Sithani iko local io
Yamaha wamenishow hiyo nahitaji special order itachukua 4 months.na bei yao iko juu Sana. Nadai kitu ya 2017/8 not brand new.
Speed bike?
Boxer zinapatikana locally.
Mshow mahali ulibuy nduthi yako.
unataka gani and what do you ride currently? ama unadhani hizo ni kurukia tuu na kuenda?
Na si ununue vile ulinunua hiyo ‘R6’
Mtu ako na R6 sidhani kama angeuliza swali ya ujinga kama hii. Kuja tukimbize Bajaj Boxer bila kelele
Nduthi ziko pale Wendani mingi sana