msupa wa wenyewe anataka nimpeleke movie date, Fast 7 to be precise, nimemsho kama anataka hivyo arauke twende ile ya 7:00AM sababu nitakuwa job @ 10:00AM, Amekubali lakini hajui vile amenisaidia, hiyo expense nime cut short mbaya