Movie

msupa wa wenyewe anataka nimpeleke movie date, Fast 7 to be precise, nimemsho kama anataka hivyo arauke twende ile ya 7:00AM sababu nitakuwa job @ 10:00AM, Amekubali lakini hajui vile amenisaidia, hiyo expense nime cut short mbaya

Imax ama?

Mpeleke a watch ā€œShawn the sheep the movieā€ badala ya Fast and Furious.

broke ass niggaā€¦kuma sio bure boss

hahahahhahahaā€¦ mpeleke ya saa sita usikuā€¦ way cheaper

ama unampeleka ile ya ā€˜watoto kaeni chiniā€™

asubuhi si inabore niaje?

kuna watu huamka asubuhi kuwatch movie??? must be living my life the wrong way

1 Like

HII STORY UNGEAMSHA KICHWAKIBOV AWEKE MPAHO HATA MTOI WANGU HAJAWAI NIAMBIA UFALA KAMA HI

heshima prizz