Moving Out

#1
Moving to your own crib can be quite a task. Its also hurting to your pocket. Tomorrow is my big day. Officially nahama kwa mathe. Leo nilikuwa na deliveries mbili za kufanya. After hapo nikaenda kushughulikia vitu za kufanya juu kesho ni wikendi na wikendi gari hubaki kwa kampuni hadi Monday. So leo Allion ilifanya kazi kweli. So kitu kama 11 nikaenda nikawithdraw pesa kwa bank a good amount to furnish the house nikabakisha hata yenye naeza tumia before end month.

Nilianza na vitu za jikoni (tumbo muhimu). Nimenunua mwiko, kisu ya kukata mboga, choping board, sufuria kadhaa na mshika dafu (ile chuma ya kushikia sufuria ukipika). Nilinunua pia cutlery mzima (forks, small spoons, knife ya kupaka mkate jam. Sahani nazo nikazinunua kwa wingi kama 6 ivi. Vijiko nazo nikabuy zile huuzwa 12 kwa packet moja, nikabuy pia cooking spoon. Glass nilibuy box tatu. Za kwanza ni zile za kunywa chai, za pili ni zile ndogo za kunywa maji, za tatu ni zile kubwa za kunywa juice and stuff. After hapo nikabuy sabuni ya vyombo (Morning fresh) scrubber ya kusugulia sufuria, na sponge ya kuoshea vyombo. Nikanunua pia sukari, kahawa (Dormans), Drinking chocolate and tea leaves, salt and cooking oil. Hizi zote zilikuwa ziende kwa iyo nyumba leo. Nilinunua bucket na mopper. Iyo nyumba lazima ichangamkiwe. Nikabuy pia stuff za bafu kiasi. Nilibuy tissue, harpic, sabuni ya kuoga na manila (ile imetengenzwa na kamba ya kushona viatu najua wengi wenu mnaijua). Pia ka lotion pale. Nikabuy gas ile ya 6Kg nikaongezea pia single burner gas cooker siezi kuwa nainama iyo idhaa yote ati kupika nahii urefu yote. Gas naieka chini naconnect burner naieka juu kwa counter inakuwa much better. Ile gas cooker kubwa yenye ina burner nne joh nimeichorea budget iko very tight huku. Nikanunua pia dustbin ya kueka taka taka na karai kama tatu ivi za kutumika wakati wa kufua na nikaongezea washing liquid na sabuni kama mbili za kufua. Kufunga chapter nimenunua bedsheets kama nne ivi and 2mink blankets (duvet) na kifagio. Kesho ntanunua kitanda, mattress na two seater na curtains. tv, meza, wall unit, subwoofer na single door fridge zitakam baadaye. Nikona laptop at least ntakuwa na stream na kuwatch nayo movie na series. Nimenunua izo kwa leo.

Allion ilikuwa packed to the brim. Boot imejaa, hadi back seats vitu zingine ilibidi nibebewe na gari hadi huko juu nilizibuy tao. Kufika huko place nadai kuhamia tukashukisha vitu na hao wasee wa supermarket wakanisaidia kuzibeba hadi huko. Naishi 5th floor. Nyumba ziko hadi 10th floor. Wakamalizs nikawajenga yao wakaishia. Nikafungua nyumba nikaingia. Key tayari ninayo. Nyumba tayari nimeilipia rent na deposit. Maji ilikuwa nikachota kwa bucket nikaeka washing liquid kiasi nikafagia nyumba kwanza alafu nikaiosha na mopper. Ikakuwa safi. Haikuwa na uchafu mob na vumbi pia ilikuwa less. Nikapanguza storage spaces mahali pa kueka sukari and stuff.

Keja yenyewe nikaipanga accordingly vile inafaa. Kuchoka nayo!!! Nikafunga nyumba alafu nikarudisha Allion kwa kampuni jui zinatakikana by 3 juu ya weekend. Leo hata sijaenda clubbing. Hii uchovu plus pombe is a remedy for disaster. So kesho nahama officially!!!
 

m245

Village Elder
#5
hii ni upuzi mingi nimesoma lakini congrats thats a positive step, my advice to you is dont buy something that you will upgrade anytime soon nunua ukiondokeanga, kama ni bed nunua 5x6 ama 6x6 hio itakulast milele, dont buy a sub, save ununue hometheater mara moja, screen 43'' and above then utakua umejisort for the next 10years or so utasave pesa mingi in between
 
#9
hii ni upuzi mingi nimesoma lakini congrats thats a positive step, my advice to you is dont buy something that you will upgrade anytime soon nunua ukiondokeanga, kama ni bed nunua 5x6 ama 6x6 hio itakulast milele, dont buy a sub, save ununue hometheater mara moja, screen 43'' and above then utakua umejisort for the next 10years or so utasave pesa mingi in between
hii yote unamwambia ni kelele kwake, the dude is happy on how he'll be climbing them gals.That the opportunity he lacked.
 

Top