Moving Out

Moving to your own crib can be quite a task. Its also hurting to your pocket. Tomorrow is my big day. Officially nahama kwa mathe. Leo nilikuwa na deliveries mbili za kufanya. After hapo nikaenda kushughulikia vitu za kufanya juu kesho ni wikendi na wikendi gari hubaki kwa kampuni hadi Monday. So leo Allion ilifanya kazi kweli. So kitu kama 11 nikaenda nikawithdraw pesa kwa bank a good amount to furnish the house nikabakisha hata yenye naeza tumia before end month.

Nilianza na vitu za jikoni (tumbo muhimu). Nimenunua mwiko, kisu ya kukata mboga, choping board, sufuria kadhaa na mshika dafu (ile chuma ya kushikia sufuria ukipika). Nilinunua pia cutlery mzima (forks, small spoons, knife ya kupaka mkate jam. Sahani nazo nikazinunua kwa wingi kama 6 ivi. Vijiko nazo nikabuy zile huuzwa 12 kwa packet moja, nikabuy pia cooking spoon. Glass nilibuy box tatu. Za kwanza ni zile za kunywa chai, za pili ni zile ndogo za kunywa maji, za tatu ni zile kubwa za kunywa juice and stuff. After hapo nikabuy sabuni ya vyombo (Morning fresh) scrubber ya kusugulia sufuria, na sponge ya kuoshea vyombo. Nikanunua pia sukari, kahawa (Dormans), Drinking chocolate and tea leaves, salt and cooking oil. Hizi zote zilikuwa ziende kwa iyo nyumba leo. Nilinunua bucket na mopper. Iyo nyumba lazima ichangamkiwe. Nikabuy pia stuff za bafu kiasi. Nilibuy tissue, harpic, sabuni ya kuoga na manila (ile imetengenzwa na kamba ya kushona viatu najua wengi wenu mnaijua). Pia ka lotion pale. Nikabuy gas ile ya 6Kg nikaongezea pia single burner gas cooker siezi kuwa nainama iyo idhaa yote ati kupika nahii urefu yote. Gas naieka chini naconnect burner naieka juu kwa counter inakuwa much better. Ile gas cooker kubwa yenye ina burner nne joh nimeichorea budget iko very tight huku. Nikanunua pia dustbin ya kueka taka taka na karai kama tatu ivi za kutumika wakati wa kufua na nikaongezea washing liquid na sabuni kama mbili za kufua. Kufunga chapter nimenunua bedsheets kama nne ivi and 2mink blankets (duvet) na kifagio. Kesho ntanunua kitanda, mattress na two seater na curtains. tv, meza, wall unit, subwoofer na single door fridge zitakam baadaye. Nikona laptop at least ntakuwa na stream na kuwatch nayo movie na series. Nimenunua izo kwa leo.

Allion ilikuwa packed to the brim. Boot imejaa, hadi back seats vitu zingine ilibidi nibebewe na gari hadi huko juu nilizibuy tao. Kufika huko place nadai kuhamia tukashukisha vitu na hao wasee wa supermarket wakanisaidia kuzibeba hadi huko. Naishi 5th floor. Nyumba ziko hadi 10th floor. Wakamalizs nikawajenga yao wakaishia. Nikafungua nyumba nikaingia. Key tayari ninayo. Nyumba tayari nimeilipia rent na deposit. Maji ilikuwa nikachota kwa bucket nikaeka washing liquid kiasi nikafagia nyumba kwanza alafu nikaiosha na mopper. Ikakuwa safi. Haikuwa na uchafu mob na vumbi pia ilikuwa less. Nikapanguza storage spaces mahali pa kueka sukari and stuff.

Keja yenyewe nikaipanga accordingly vile inafaa. Kuchoka nayo!!! Nikafunga nyumba alafu nikarudisha Allion kwa kampuni jui zinatakikana by 3 juu ya weekend. Leo hata sijaenda clubbing. Hii uchovu plus pombe is a remedy for disaster. So kesho nahama officially!!!

Jeeez! Does the world need to know all this?

Wapi thermal image ya cutlery?

Kuna kijana wamama anahama, kijiji hakikaliki the whole of this week. You have a long way to go Sir, sisi tulihama kwa mathe ,tukakomboa for 10yrs, hadi tukajenga. You can foretell where you are right now.

hii ni upuzi mingi nimesoma lakini congrats thats a positive step, my advice to you is dont buy something that you will upgrade anytime soon nunua ukiondokeanga, kama ni bed nunua 5x6 ama 6x6 hio itakulast milele, dont buy a sub, save ununue hometheater mara moja, screen 43’’ and above then utakua umejisort for the next 10years or so utasave pesa mingi in between

In a man’s life, this is one of the memorable moments. Let the guy enjoy.

Good step. Sasa try and motivate/ inspire @Mzee mzima to follow suit.
Also @denis young moved out just last year na amekuwa akinunua vitu reft light and cenda, mwambie akupe tips on furnishing the house.

congrats

hii yote unamwambia ni kelele kwake, the dude is happy on how he’ll be climbing them gals.That the opportunity he lacked.

Congrats bro

So hii kisu ni specifically ya kukata mboga? Ukitaka kula maembe utanunua kisu ya kukata maembe? Na ya kukata nyama? Na ugali, na avocado, na mkate, na mananasi?

I agree. Reminds me Many years ago… Started small, remember ilifika tym ya kupika ndio nkakumbuka Sina mwiko.

Yaani all this time talkers have been breaking your balls about you living under your mother’s roof were true??? Seriously?
Gai fafa! Turdmean na bure kabisa mods ekeni kids corner. How now?

Hapo sawa jienjoy

Let the guy be…kamati ya roho chafu

Well done bro. Some will tell you otherwise hapa and they nyemelea on their wives.

Congratulations small brother. That’s one move in the positive direction!

Talkers wamekuweka pressure about kuhama ukaamua kuhama mid month

Mahali kama kawangware where @It’s Le Scumbag lives nyumba hupatikana every day of the week. lakini ukichelewa kulipa rent landlord anangoa mlango.

Please please, lazima msichana akuje kesho to bless that house with her pussy juices ama you will be haunted na majini. So make sure hiyo bed imefanyiwa testing