Mpango mkakati wa ufugaji wa kuku

Wadau wenzangu wa fursa za kilimo na ufugaji tupo huku KENYA bila shaka ni wakati muruwa sasa wa kupata elimu kutoka kwao. Tutakaporudi nchini kwetu tuwe tayari tumeshapata uzoefu mpya, si ajabu tukapata wakenya wapenda kilimo tukashirikiana nao.

Ndio mkuu.

Hivi kule JF ulikuwa unatumia jina gani mkuu?

The Tweet.

tunangoja nondo aise

Hakika mkuu