Mpesa hacked!

Soprano

Village Elder
#1
Kwa nini iko down?
Leo ni Saturday siamini kuwa kuna high traffic!
Siku wataibiwa watasema ukweli kuwa pesa zetu zimeenda?
Mpesa imehakiwa, no argument!


These are the messages they are sending back....

MPESA is currently unavailable. We apologize for any inconvenience caused.

M-PESA is not able to process your request. Go to M-PESA>My account>Update menu>M-PESA PIN>Send. Then try again.
 
Top