Mpina au mpima amejiudhuru?

Nakata kujua mpima kwa rula amejiudhuru au ameshikiria kamba hataki kuachia uwaziri Wa vitoweo

Ataanzaje kwa mfano

ACHA KUSUMBUA WATAALAMU WETU. ALLAH
[ATTACH=full]178949[/ATTACH]

huyu nae ni baba wa mtoto fulani kwenye familia ya fulani

Spika alimwambia ajipime…ila kwa ujeuri wa Jiwe atakua amemwambia asijaribu kujiuzulu.

Huyu jamaa mpima samaki haki ya nani hazimtoshi. Yaani na elimu yako yote hiyo unashindwa kuelewa madhara ya food contamination!! Check anavyoning’iniza koti kwenye hao samaki, check anavyogusisha samaki na hilo li rula lake!! Halafu hao samaki waliliwa na nani eti?

Katika ile kukabidhiwa gawio Raisi alisema wizara inaajiri watu vilaza sana nadhani huyu mpima samaki ni mmoja wao

Siku hizi hakuna kujiuzulu…

Ni kusubiria maagizo… kwa sababu kila linalofanyika ujue tayari linamaagizo lifanyike hivyo…

Cc: @Mahondaw

Madaraka matamu nani ajiuzulu?

Basi mtoa maagizo inampasa ajiuzulu.

Hiyo ilipangwa mkuu

Wahenga tulisemaga…
Kelele za mlango hazimuudhi mwenye nyumba.

Hivi ni nani aliyewahi kusikia huyo waziri akiongea English?? Kiswahili chenyewe shida, tutatuaje kama yuko vizuri kwenye mambo mengine? Sina taarifa za elimu yake lkn nadhani nae anaweza kubwa PHD kama walivyo wengine