@Msa Ktalkers

Tudor,Tudor 4,Tudor Noorah,Kiziwi,Buxton, Kaa Chonjo,Makupa hakuna stima. Guraya,Mwembe Tayari,Majengo,Sparki hakuna stima.

Where you are kuna stima?

cc @Meria Mata @bjurmann @MISCHIEF

Stima mingi Bamburi.
Kuja samba.

1 Like

At the moment siko coastā€¦Coast nasija weekend na mm ni mtu wa Kilifi:)

2 Likes

Na ya Mombasani wayaongelea aje Miss Chief? :D:D:D

Hata zimerudiā€¦

1 Like

Heheā€¦napata kila habari huku niliko

1 Like

Mshumaa

zimekujaā€¦border ya tudor na kiziwi!

1 Like

Hehehehheeā€¦iko wapi hiyo border?

karibu na rounda ya kiziwi. By the way, do you know no other round about has so many roads like that one

vok stima iko

Mombasa shida tupu.

@MISCHIEF kumbe ww ni jiraniā€¦ukija pitia Kavenya upewe shupa tatu mblo

Kavenya:rolleyes: apo sijapata poa tutaongea lakin

Niko Sparkiā€¦stima miiiiingi hadi zamwagika

Mbona mlifunga makuli fagia?

1 Like

swaaafi

1 Like

sijaku elewa

Kulikua na bar moja hapo spaki na hilo jana.
Twas very famous

Maybe ilifungwa kitamboā€¦sijawahi isikia

1 Like