Hbr wakimbizi wenzangu.
Kuna mazi nataka kuachana nae, lakini amekuwa king’ang’ani kinyama asee. K wa sababu ya kuwa ka kupe likaja wazo la kumspy ili nimkaange kwa mafuta yake mwenyewe. sasa ombi langu kwenu ni kunisaidia njia nzuri nitakayo mspy kwayo ili nimtose kwa urahisi, lakini hizo site zisiwe za kununua. Natanguliza shukrani zangu kwenu
Bata ukimchunguza huto mla
Mtafutie ka sababu hata ka Kingese akiingia tu unammwaga
Na mie nataka kutomla ndo maana namchunguza man
Kwani unaishi naye?
Nipe namba yake nianze kumtongoza halaf uje ufumanie texts na calls zangu kwenye simu yake
pyepyepye:
Hbr wakimbizi wenzangu.
Kuna mazi nataka kuachana nae, lakini amekuwa king’ang’ani kinyama asee. K wa sababu ya kuwa ka kupe likaja wazo la kumspy ili nimkaange kwa mafuta yake mwenyewe. sasa ombi langu kwenu ni kunisaidia njia nzuri nitakayo mspy kwayo ili nimtose kwa urahisi, lakini hizo site zisiwe za kununua. Natanguliza shukrani zangu kwenu
Mkuu wewe mwambie tu. Kama ulivyomtongoza then muache kwa kumuambia na then weka msimamo.
Hyo kum spy utakuwa unampotezea muda tu. MCHANE UKWELI THEN AONDOKE ZAKE, UKISHINDWA KWA MANENO ONYESHA KWA VITENDO
mkuu sikuhizi unaachana na mtu kwa amani japo atakuona mbaya ila bora hivyo kuliko kumuundia zengwe lisilo na ukweli,fanya kibingwa
Natsmani ajihisi hatia yenye uhalisia katika kuachana kwetu, na akili yangu ikapendekeza njia hii. Ni kiwa na maana kua ikiwa kutakuwa na confs zozote kati yake na mtu mwingine na nikazinasa zitamfanya aondoke kwa amani bila kuhisi kuonewa,
Hili tu ndo nalitafuta

ka waona ni njia sahihi hata wewe ukuja fanyiwa hivyo basi ni sawa mkuu
As long as nitakuwa nimecheat, nitapokea malipo ya haki kwangu
Naunga mkono.
Yanini kuumizana Roho, afu kutafutiana sababu ni uzamani. Kidume Vimba then mpe makavu ajiache
Davet
June 20, 2018, 9:58am
15
Fanya tu hivi…
Nipe namba yake alafu utegee siku uponae nimtumie text ya mahaba ili umzulie zengwe nahisi hiyo itafaa zaidi
Mkuu kuwa mwanaume kwanza, akijua kuwa wewe ni mwanaume na umeamua kumuacha atakubali matokeo.
Basi mpige chini kwa kumwambia ukweli ajue ndo njia sahihi
Simple! Mtafutie mke mwenza,automatically atajiondosha.