@Mshana Jr ,@prondo wakuu naombeni mnisaidie kuijua vzr hii gari
Mod msaada wa marekebisho,toyota camry
Camry ni generation moja na akina chaser na Mark ll za 90’s n 2000, onwards gari ngumu lakini sio maarufu Tanzania… You can purchase especially new model
Ahsante sana mkuu,ulaji wake wa mafuta na upatikanaji wa spare zake uko vipi?
Mafu
Mafuta inategemea na ukubwa wa machine spare zipo hasa hapa Kenya ni za kumwaga
Ahsante sana mkuu,nimevutiwa nayo sana hii gari,ngoja nijipange niibebe
Kwani upo Kenya we Mganga wa Kienyeji?