Msaada kwa Wale Wanaojua Kuhusu Ada za wale ambao hawakuchaguliwa Kujiunga Form 5

Mimi nia mwanangu amechaguliwa kujiunga na Ordinary Diploma in Nursing and Midwifery huko Bugando. Swali langu ni kuhusu ada za hawa ambao hawakuchaguliwa kwenda Form 5 je, ni kama zile zile?

Hiyo nafasi aliyopata mtoto wako ni nzuri sana. Ukizingatia umri wake, awe na ndoto tu za kumaliza degree ya nursing experience atakuwa nayo kubwa sana

Kwali wamechaguliwa kwa kupangiwa na tamisemi au zilikuwepo kwenye choises zao?

wamepangiwa na tamisemi

Unapangiwaje sasa bila kuchagua…huu utaratibu labda ni mpya