MSAADA WA KAZI WAKUBWA

habari zenu wakubwa…poleni na ukimbizi natumaini yatapita
mimi ni binti natafuta kazi kwenye NGO’s au kampuni au popote panapofaa
nimesomea community development,ngazi ya degree napatikana dar es salaam
naamini hapa kuna watu wengi maboss, ma hr…natanguliza shukran zangu za dhati

Mshahara mdogo wa kuanzia ambao unaweza kukubali kazi ni sh ngap

Ungejaribu kuandika barua ukazitawanya kwenye taasisi na kampuni mbalimbali, huwezi kujua bahati yako iko wapi…

Mtangulize Mungu,hajawahi kushindwa jambo lolote lile…

Tembelea www.kijiwe.co.tz kama niliona post ya namna hiyo.

shukran kwa ushaur

namtanguliza

Mungu atampa kazi kanisani au msikitini? Mi nawafahamu waumini wa dini waliopigika miaka na miaka, au Mungu gani unasema?

Ninamuongelea Mungu wa Baba zako wewe,Mungu wa Israel,Mungu wa Yakobo,Mungu wa Isaka,Mungu yule alieziumba mbingu na nchi,sorry kwanza nilisahau kuwa you are @PAGAN kwahiyo najua hutanielewa,J.pili njema…

Sasa Mungu wa Israel atampa kazi Hapa Tanzania au huko Jerusalem?

mkuu nmekujibu pm

msaada wakubwa bado sijafanikiwa

msaadaa

Kila lakheri

asanteee

Mungu akusimamie