MSAADA WA KOZI ZA FAMASIA CERTIFICATE

Naomba mwenye kujua kama bado kuna kozi za BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN PHARMACY alisaidie na vyuo gani vinatoa kozi hiyo. Ikiwezekana na sifa za kujiunga.
Asante.

Umeshindwa hata ku-google? Hebu ingia hapa: http://www.nacte.go.tz/en/institute.php?NIRID=15017909020202 utapata taarifa zote…

Au ingia hapa: http://www.nacte.go.tz/en/institute.php?NIRID=15031203040502 pia utapata taarifa…

Asante sana. Nimeangalia naona kama ni Degree courses. Nilipitia NACTE admission guide book before coming here, could not see that particular course. Diploma ipo, but no Basic technician certificate… Asante sana. Ngoja nifanye search zaidi

Mbona wanatoa certificate na ordinary diploma! Level 4 hadi 6…

Nimeona ngoja ni apply for certificate. Tatizo ni kuwa kijana wangu hana sifa za diploma. Physics ilileta shida, she got F!. Kila kozi ya afya inahitaji physics. Ndiyo maana naangalia kozi ambayo haina somo la physics. Serikalini hakuna kozi kama hiyo (basic).
asante kwa kujali. If you have more information on this please do not hesitate to assist.

Bishop, hivi hii kozi ukimaliza unafanya kazi gani: Basic Technician Certificate in Community Health

Unakuwa Afisa Afya (Bwana/Bibi Afya)…

Mimi ni Medical Personnel, nilisoma Medicine, ndiyo maana nayajua haya mambo…

Bishop, nisaidie basi chuo cha serikali cha pharmacy Basic tech certificate

Hata hvyo nilivyokuonesha vinatambuliwa na Nacte, mtoto akitoka hapo anakuwa fresh. Anyway, ngoja niulizie zaidi nitakueleza…

Asante. I am afraid vyuo vingine havina ubora wa kumpa mtoto alichokifuata. Kwa vile wewe uko katika fani hivyo, I am sure you are very informed of such vyuo.

Nashauri uachane na hiyo kozi mkuu

Nahisi hizi taarifa zina nifaa sana wenye ujuzi tusaidieni