MSAADA WAKUU

[ATTACH=full]178616[/ATTACH]

Msaada jinsi ya kutoa blacklist number katika ITEL HIYO HAPO JUU

Nenda kwenye phonebook itafute namba husika kisha bonyeza option kisha ondoa namber kwenye blacklist

Bonyeza setting > Security > Blacklist > Blacklist list
Kisha tafuta namba unayotaka kuondoa kwenye list hiyo, delete kabisa

asante mkuu

Mkuu mtoa mada usipoelewa haya maelezo ni tag