Mshawahi jiuliza kama hawa ma Chinese wako Kenya na Africa at large......

Mshawahi jiuliza kama hawa ma Chinese wako Kenya na Africa at large wenzao waki dedi huku kama hua wanarudisha maiti mtaani Shanghai Province kuzika ama kunaendanga aje? :smiley:

Iko jamaa alinishow hua wanachomwa Kariokor pamoja na belongings zao- manguo, laptop, simu na takataka zote wanasahau hio story, inabaki kujulishana ocha kwao mtu wao aligenya.

Swali ni, hio ilikua jaba stories ama ilikua ni ukweli. Nataka kujua juu inakaa very interesting.

@Unataka kujua ili?

… Kwani kujua iko shida? Wewe niambie unakaa kujua hii maneno.

Mwizi

Nitaenda kuiba vitu zimechomwa?

Chinese are dogs , they deserve to be buried like dogs they are .

Ashes zinaflushiwa na wanasahauliwa

maybe
sisi ndio lazima tuchange mamilioni mwili ije na disco matanga ifanyike.

… Hehehe walikunya nini kaka?

… Joo, na wanaendelea kuu hustle na kutupea expensive loans.

This is a very retarded question. Before ufikie Chinese, do you know that Muslims don’t transport bodies and one gets burried mahali amekufia within 24 hours?

Nilijua tuu utapatikana hapa.

… Nani kapatikana na juu ya nini.

Anaitwa Mse wa Haan Chinese huyo Sambamba.