MT Kenya TV trending

its owned by one mama county Wangui Ngirichi na apparently halipagi salo.
employees are not @Amused
[ATTACH=full]254498[/ATTACH][ATTACH=full]254497[/ATTACH]

[ATTACH=full]254505[/ATTACH][ATTACH=full]254499[/ATTACH]

kuanzia leo ata iyo “ndumo ya tene” sitakuwa nawatch…nachukiaga iko kingirichi sana…no wonder waliskuma ile story ya kerugoya hospital

[QUOTE="Meria Mata, post:
[ATTA[ATTACH=full]
254506[/ATTACH]CH=full]254505[/ATTACH]
[/QUOTE]
filisika umjue mkeo?..“marriage is at the brink of a break up”

filisika umjue mkeo?..“marriage is at the brink of a break up”
[/QUOTE]

leta hekaya.
Kenya mpya niza nani?

leta hekaya.
Kenya mpya niza nani?

[/QUOTE]

hehee…hakuna hekaya…ni vile nimeona iyo statement ikanikumbusha huo msemo wa kanga…

Ni za brother yake ule wa mercury sugar scandal

hehee…hakuna hekaya…ni vile nimeona iyo statement ikanikumbusha huo msemo wa kanga…
[/QUOTE]

Joyce wa mamaa ako yuu
uko na numba yake?

na Neo Kenya?

Za rival group

Joyce wa mamaa ako yuu
uko na numba yake?
[/QUOTE]

juzi alikuwa na show pale visa palace umoja…msichana haga flat ata kuliko ya mwanaume…but mugambo na talanta ni sambamba…number sina though…

juzi alikuwa na show pale visa palace umoja…msichana haga flat ata kuliko ya mwanaume…but mugambo na talanta ni sambamba…number sina though…
[/QUOTE]

na Kareh B
[ATTACH=full]254509[/ATTACH]

sauti kali kuliko wa mamaa

#mbirrionaires like @Meria Mata cunt relate.

na Kareh B
[ATTACH=full]254509[/ATTACH]

sauti kali kuliko wa mamaa
[/QUOTE]

kare b sambamba…kwanza leo gatutura anatupea ndumo hapo hapo visa palace…kitu kubwa inafanya niende ni kwasababu nimeskia watacheza na kareh B pia…i hear she is very naughty verbally kwa stage…kwanza ikifika ile masaa ya dhambi…ushatembea show yake yoyote?

:D:D…kutoka zamani it’s tradition that wazito huenda such areas kuwaka far from home…kaloleni,ziwani,bahati,uhuru,jericho estates used to harbour such…ni vile tu insecurity imewafkuza

She thought the bizna will start bringing in millions in advertisement within a short time.
Aulize akina Kameme and inooro who have been around for over a decade.
No wonder Njogu wa Njoroge had to ditch Gukena FM akakunja mkia na kurudi Kameme.
Biashara sio mcheso.

haiya…njogu kalirudigi kameme?

Kameme TV from September 2nd.

hii mtoto ni muoto, Gatutura anatamura mali muzuri sana, ebu cheki hii ngoma, guys are madly in love.
kuna safe parking ya msedes huko

hate that kamtu kafupi round, he is so full of himself, nowonder watu wakwao hawakumchagua.

…iyo ni tuchakula tuzuri…literally…well,parking iko…parking safe siko sure…alafu leo juu ni jina kubwa utapata itashona mapema…