18+ Mtamu Sana

Slim_fit

Village Elder
#6
Nikiona mjaka light skin it messes up my mind in the way I've programmed how things should look like. Ni kama kuona Toyota Hilux ya pink.
 
RandomTask

Village Elder
#14
No. Hii ni Amazon. Mnyama hatari sana lakini mafuta inanyonya kunyonya. 80 litres inaishia mombasa-nairobi. Kupata ya diesel ni ngori ajabu. Wenye wako nayo wanakuambia urudi after 20 years waone kama they would have made up their minds kuuza.
Hii ndio muzuri.. natafuta hio diesel
 
Spaxs

Village Elder
#15
No. Hii ni Amazon. Mnyama hatari sana lakini mafuta inanyonya kunyonya. 80 litres inaishia mombasa-nairobi. Kupata ya diesel ni ngori ajabu. Wenye wako nayo wanakuambia urudi after 20 years waone kama they would have made up their minds kuuza.
Iko league moja na Nissan Patrol?
 
Top