Mtawacha Ujinga

In a matatu
passenger; Tao ni ngapi?
Conductor; wee unajua ngapi?

Vct attendant; utapimwa nini
patient; homa

Kwa stage
dere; mnaenda tao?
Stude; hapana. Tumesimama

From church
mzae;church kuna watu?
Stude;zii. Ni mbuzi yetu na ng’ombe za pastor

Lol
conductor; ingia gari ni mbao.
Dame; alafu ukimbao? Nkt!

Nurse; unataka daktari ama?
Patient(in pain); apana,nlikua nmekam kuona haga yako


Ebu you pipz help me answer thiz one
‘‘dude;na leo giza imeingia mapema aje?’’
ijibiwe aje?

Hahahahahaha! Hahahahahaha! Hahahahahaha! Hahahahahaha! Hahahahahaha!

Si uingie Kwa nyumba mApema kaa kuku

kuja uniingize

Kwa base ya mogoka
A plane passes over.
Digi.:. Buda ile ndege Ni ya uhunye
Mosa…:. Zii ingekua ya uhunye kungekua na
Nduthi mbele

???

jaribu hiyo ya nurse kwa hosi ya gava

@ChifuMbitika lazima acheke juu ni pink handle

Mundu wa nyumba niî ndirî mûhiki ndî mundûrume!

nimesema OP ni pinkie sio wewe tuseme unajipendekeza mapema au sio.

Oooh! Nindanyita.