Mtoto wa shost amepata contract ya kuwa model wa Alexander McQueen

Kijana wa shost mwenye miaka 21 ame sign mkataba wa kuwa model wa designer maarufu Alexander MacQueen. Ninepata habari huzi nimeshindwa kufurahi au kusikitika.
Shost anafurahia sana mkataba huu lakini kila nikifikiria wanayopata vijana wanaoingia kwenye kazi za u model ninamuonea huruma shoga yangu.

Kijana ni wa huku kwetu Kwamtogole. Alipata bahati pia ya kuwa model kwenye clothes line ya David Beckham ndiyo jujus kwa Beckham ameamua kuinvest kwenye fashion na ana line yake.

Huyu kijana wa shost amenimegea kuwa Victoria ni snobbish lakini David ni very down bro earth guy.

That’s true about Beckham… Alishawai kucheza soka na vijana flani wa Africa magharibi kwenye dust mbaya hadi wale medical team wake wakamkataza due to health reason but akadeny akaendelea kupiga soka na wale vijana.

Beckham has big old heart with love so pure.

Mmhh!huyo dogo choko tayari

Mama yake amenionyesha picha dogo amevaa skirt si skirt yuko kwenye cat walk. Nimebaki kusema nzuri nzuri lakini moyoni ninaumia mimi

Hamna kitu hapo!tayari huyooo!

dada mkubwa sikuhizi umebadili mtazamo wako kuhusu mashoga teh…
ungemjulisha lakini huyo shost mamodel wengi walivyo asiangalie pesa tu aangalie na upande wa pili wa shilingi

Shost ninasali nae jumuia, sielewi kama haelewi au ameamua kulifumbia macho. Kwani shost si mshamba ni wale wa dada wa mujini wa miaka hiyooo.
Ningependa apate wajukuu.

May be hajui ungetia nae story umgusie tu kuhusu umodel na mamodel walivyo

Mwambie huyo shosti wako awe makini,dogo anaelekea kufumuliwa marinda

Jamani!!!

mbona umekazania ivyo hhahaha

kumbe modo wengi wanapakatwa… akina kadinda na noelgio vipi???

hao uliowataja ni madesigner ila sekta nzima ya fashion 80% wanafumuliwa marinda…

Inavosemekana wengi wanapakatwa mkuu…mwanaume huwezi kuwa na mapozi kama yale ya kadinda

Huu uzi ungesindikiza na picha ingependeza sana.

BUT huyo DoGo ndio basi tena, kupakuliwa ni 77% wakichelewa.

Ukipata muda nitaomba unieleweshe hiyo sentensi, kimalkia kimeniacha mbali