Mtu anajua mshahara ya degree Nurse kenya help. Google inasema 25K

Kuna msee hapa anataka kuwa nurse since wasee husema nurse hukua na pesa. Yeye amemada High School juzi na ako admitted UON this year degree ya Nursing

Shida ni tumetafuta Google inasema starting salary ni 25K na maximum ni 80K after 30 years experience

Sasa tuko conflicted kwa maana cut off ya Nursing University ni high kuliko Engineering zote 43.5 na engineering ni 42.

Sasa kuna mtu anajua Salaries za Degree nurses za ukweli toka Starting hadi Huko juu please tuambie

Kuna venye anaweza badilisha aeke engineering kwa maana hakuna haja mtu apate A halafu mshahara ni 30K!

Mtu anajua please…

allowances ya nurse was diploma ni over 40k though salary ni 16k

Wrong approach to life.

Tell that person to study something because they are passionate about it and not because of what they perceive the outcome will be.

Na degree je?
Thanks btw

I know but passion ni Med. But haku-make na 1 point. Ako na 43 na med ni 44.
Sasa hata kama ni passion na approach to life. You would rather get an A and get a 30000 salary which can’t pay rent in Nairobi and beget basic needs? Si afadhali afanye hata kuuza maji na barabara basi.

25k jameni 2017 hapa kenya utafanyia nini…hio ni below peasant.
Hakuna decent house utapata less than 10k in any considerable neibourhood.
matumizi ya kila siku chakula na fare na mbundos ukijikaza ni 500×30=15000.
zile nyumba wanapewa ni worse kuliko zile za round za mabati za askari wa AP…
hio career path ya nurse haiwes make

I got in touch with nurses in public hosis payslips and that is about right. Courses zingine its more about passion and being contented that matters. Ukiweka pesa mbele, kuna vile amepotea. Some colleagues waliweka actuarial science because it waa the best selling at the time, hata sem mbili hazikuisha…

Hapo enyewe ni passion but hakuna haja haishi below poverty level. Ebu nimwambie hii mambo

Watu wanapaswa kuambiwa ukweli bana. Hii mambo ya kujaza Nursing waache

Halafu University ziache ujinga. Cut off ya Nursing ni 43.5 na Engineering zote ziko 43 and below ni ujinga. Si waeke kitu kama 25 watu waache kudanganyika. Nursing iko ligi na vitu unmarketable. Hata diploma ya vitu ingine iko juu yake

Nursing iko juu, kama unatarget public hosis pekee hapo noma. Huku ngo world mariaga na gaciko

All this is fallacious reasoning. Si kila mtu anaishi Nairobi ama Mombasa.

@ingwee kuja hapa upeane wosia

Hata huko deep kwa villages… Mshahara ya 30K itakupeleka wapi? Utajenga nyumba aje? Kulipia watoto fees. Hata TV mtu anaweza nunua kweli?

Na cut off ya Nursing ni 43.5. Engineering ni 43 and below. 42 ni Law na akina Economics. Si afadhali afanye Engineering fulani na ame-qualify a cash on the 200K salary akue miserable job but life ikue poa kuliko 30K akue miserable his whole life

Hii thinking yako ni mediocre sana.
Wacha mtu afanye course anataka.
Btw hao nurses wa degree hulipwa poa sana hata kwa public hospitals

Since when did passion pay bills? I am passionate about music, doesnt mean I should perform at Bomas? You need to wake up because in the current world, financial needs supersede passion ALWAYS

Best bet is simple, asome hiyo degree, aende majuu specifically USA. They always hire nurses from Kenya. Hawezi tarmac huko nad he/she will make big bucks.

Unajua hiyo salary? Ya ukweli I mean? Si venye wewe huskia. Hiyo ndio nauliza

Nimeongea na mtu anasema huanza group L… Hiyo ni 35K.Bado hiyo salary ni mediocre sana pia. Si afadhali arudi shule salary ianze 115K ya madaktari.

Passion is cultivated. At the end you have to look at the quality of life. He can just do something else like even Business but chose to work for a hospital

Advise zako are wanting. Unadhani USA is a street CBD ama?? If it was that easy, do you think nurses could be earning what they do at the moment??

Ama si you advise the fella on the course to take kisha yu hire him/her like you did to your sportpesad boss…

Passion is what you do with your life outside of work. Wira ni wira…it’s meant to be hard and not so pleasant but you just deal. If you have a passion in basket weaving and Micropolynesian poetry hiyo passion itaisha when you discover that the education has left you broke and miserable. Young people, go for the best paying courses. Nothing else matters. Harsh but true