Muay thai ni noma sana

[MEDIA=facebook]802448903294257[/MEDIA]

Muay thai ni noma utu jumaa tunakuanga tumekauka…ufc guys hawatoshi mboga

https://www.youtube.com/watch?v=yQffUsac-DI

I was in Thailand, nikaenda ku-watch match ya Muay Thai, huto tumutu tumekauka kama simiti. Watching those guys fighting live was epic.

:D:DKajamaa kako na ufala mob sana…

kuna ingine niliwatch Purdy arms(karen). kenya vs uganda. wakenya kuna watu wamekauka

Hugo jamaa anadharau watu aje?:smiley:

:D:D:D:D

Haka ni wakanyama na berndora tall midgets