MUHINDI

epoch

Village Elder
#5
Mimi miiindi amesema take work home. Today work was low...ameingia kwa store akapata tunafanya stock count, halafu mimi nilikua natembea nikiangalia saa na stress za weekend - ManUtd kulimwa!. Akashout sana "Epocho, apana tombea tombea hapa, wewe iko taka potesa kazi....mashahara yako iko kwa mafuko yangu!"
Bado nashindwa kama nitarudi job next week.
 
isidore

Senior Villager
#6

Ulipeleka utombi tombi kazi??
 
isidore

Senior Villager
#7
Hii mwaka nkajapata bonus ya ata T-shirt na Kofia ntasema areruya....Muhindi wangu namuonea 22...alianza kulia lia April kutu prepare psychologically eti sales za last year na this year zitafanya ashikwe na Blood pressure...isoryt..
Hao wenyu ni wahindi mwitu.... wako na kale ka dot ka red??
 
Join Chatpanda, Fastest growing social media website in Kenya! Get verified easily, grow your following, and meet like-minded Kenyans

Mathaais

Village Chief
#13
Mimi miiindi amesema take work home. Today work was low...ameingia kwa store akapata tunafanya stock count, halafu mimi nilikua natembea nikiangalia saa na stress za weekend - ManUtd kulimwa!. Akashout sana "Epocho, apana tombea tombea hapa, wewe iko taka potesa kazi....mashahara yako iko kwa mafuko yangu!"
Bado nashindwa kama nitarudi job next week.
:D:D:D:D
Epocho wewe ni mjinga.
 
Top