katokelezea au kaboa
[ATTACH=full]177248[/ATTACH]
Daah!hizi fashion nyingine jamani tuwaachie wenzetu tu
Huyu anaumwa au mbona mbavu nyingi hv
Mmmh
Khaaa! aisee hata mseme.
Huyu mgonjwa huyu.
Nani huyu, Beyonce?
heee!
Kama Nysuka
Kifua kipo kama ubao hizi fashion hizi mmh
Duh
Mwili kama kimbwa kilichokosa matunzo au alikuwa Somalia
she is sick
ugonjwa gani maana najua ya mjini hayakupiti ivi ivi wewe
Ngada hyo hakuna kingine!
kama msukule aiseee
Mifupa lakini wanakipelea moto tu hivyo hivyo.
Huyu unabidi akafungiwe pale jikoni kwenye hotel ya kempiski
Wapi Ruge
Anaumwa huyu…
ruge kashamtema akahamia kwa nandy sasa sijajua bado yupo nae hadi leo au la