muranga water

nyinyi watu wa ndigi maguro mutuwache,ati sasa mnataka kulipisha nairobi water cess ya maji fully knowing 99 percent ya hawkers nairobi hii wametoka huko,kujeni pole pole

Maji rasima iripwo.

hio maji hutoka aberdares muranga is only a collecting point na hatulipi liwe liwalo

Ikiwa wa Turkana na wasee wa kwale wanapewa % ya ngata na titanium respectively, mbona si watu wa Muranga. Watu was Nakuru sasa walipwe for the steam, watu wa Kitui for the dams,

Kulipa ushuru ni kujitegemea. Wa Iria finya watu

mkiondoa hawa mahawkers kutoka nairobi maji ya susumwa na kikuyu inatutosha

High time we incorporate a water pipeline into SGR. Maji ya lake Victoria?
Engineers in the house, @shocks .

Itapigwa kombora na Egypt. Tho at the moment we haven’t yet exhausted sources that are nearer and cheaper

Si ata wewe utafute collecting point

Unless we are pumping it from a place like where Migingo and Mfangano Island are, the water in the Winam Gulf has A LOT of sediment.One can notice the difference in color of the water in Kisumu and further into the lake.

Hiyo swamp ilibomoka juzi si inaweza wa sort huko Sub county?

Wakanyama unateta maji ya nini na huogangi

Actually, we have.Remember the likes of Muranga, Thika and Kenol are growing in their own right and will impose water demands on their counties and in case you have not noticed, the rivers in Central are seeing reduced water levels. Lake Victoria is actually the solution but to use that water would entail massive changes, like clearing the shoreline to reduce sedimentation and erosion, rehabilitation of Kisumu’s sewers to stop the pollution of the lake(same to expelling those car washers) and having a water system that will not just supply Nairobi, but several other areas so that such a massive water project can make economic sense(most likely Nakuru and Naivasha along the way and Kisumu itself).

water is the new oil

Sasumua ni ndogo na Kikuyu Swamp will serve only that area as the population grows

At the very least the people of Murang’a should have access to water before it is piped to Nairobi, as it is only 30% of Murang’a residents have access to water

Tanzania built a pipeline from Lake VIctoria to Central Tanzania. Egypt’s claim is baseless even before any international court as the Nile Agreement was between the Uganda Protectorate, Anglo Egyptian Sudan and British East Africa, the Ethiopian Empire and Egypt.They can go ask those nations about it.

Misiri itazusha ile haujaona, kuna ka treaty fulani walisign na Brits eti maji ya lake victoria ni yao,
kwanza mbona haijabadilishwa jina, it should revert back to its old name Lake Sango

na maji ya turkana , what happened to it ?

natetea wale huwa wanaoga