Mutura n vichwa business

#1
This is a business where u can reap big n earn upto 3k per day .... Ask me how

Capital u need the following

1. Ile jiko ya nyama choma (4000/=) pale juakali

2. A drum (kuchemsha vichwa) kshs 500

3. Economical sawdust jiko (1000/=)

Or just use firewood.

4. Location ( busy market place or outside a busy pub)

5. Be familiar with bamaa au kiamichael

Kule kichwa ya mbuzi Ni 50-80/= bila broker ukichemsha hiyo kichwa full ni 300/= ( profit of kshs 250/= imagine) on a good day sell vichwa kumi ...... U make a profit of 2500 na Bado hujauza supu @10/= per metallic cup .... Sell 50 cups i.e 500 hii imetosha kulipa kijana wa kazi , hatujaongeza ya mutura make 1000/= from mutura hizo maten ten weeeeeeeeeh......

I know someone who bought a plot and build a storey building na hii biashara + no documents needed just a white dust coat

Go out there n make money be millionaires
 
WongNamba

Village Elder
#5
Najua wakanyama mmoja who held court na hii biz outside a degenerate pub in my 'hood. Most jioni baada ya kazi singekosa kumpitia for thufu na mutura za 50. Bizness was a booming. Jamaa mwingine akafungua ingine virtually next to him but aka concentrate na hizi fry za mafuta mafuta sijui hua nguruwe au nini, still akavuta customers wake. You'd think ni team building ya wezi inaendelea going by the mob that would develop nje ya hiyo pub kila jioni. Then corona ikaja na hiyo mambo ikaisha kapsaaaaar. Dunno where wakanyama went, but I hope hiyo game ilimjenga enough to have a fresh start
 
#8

Wakanyama must be somewhere in Dubai
 
#15
Haujafactor in the fact that you may need to first fight for that space to sell mutura na kichwa

Halafu, kuna cops watakuharass

Then kuna kanjo...

Biashara always looks good on paper until reality makes a grand entry into your plans
This doesnt make sense.. Ukitoa izo damages zote(Of which baze ya mutura haina damages mingi) si unabaki na 2k+ yako safi which isnt bad for a day.. I also know of a guy who does this biz, he doesnt do drugs or lanyes.. Ako na shamba mbili sasa na amejenga kwa moja.. Hajafanya io kazi miaka mingi.. Its around 2-3years
 
#19

Mitura inaweza kuwa front,hujui zile biashara hufanyiwa back door
 
johnpombe

Uhuru amefanya kazi buana!
#20
A friend runs a butchery huko eastlands and he tells me he makes a big % of his cash from the mutura and supu. Also by law, only butcheries are legally allowed to sell mutura and supu.
 
Top