Mwanamke mzuri

MWANAMKE MWEREVU NA MWENYE MAPENZI YA KWELI KAMA HUYU HAKI HUTA WAZA KUMSARITI
1.Unaamka yeye kashaamka na kusema “baby amka maji ya kuoga yapo bafuni”(mwanamke adimu sana)
2.Unajiandaa kwenda kazini khaa,nguo zishapigwa pasi(jamani hiyo kazi kafanya saa ngapi?unajikutaunaenda kazini upo kwenye daladala kimoyo moyo unamwambia “I love u honey”
3.Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu hujui hata anazifua saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?
4.Umejipunzishakwenye kochi au
Au kitandani mara kakukalia
Mgongoni anakufanyia mesaj
Mgongoni,khaa alijuaje unataka
Ufanyiwe masaj? unaishia kusema
Thanks baby.
5.Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli(ni baraka kwenye familia)
6.Anapenda ndugu zako(siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama kitimoto)
7.Anakupa moyo kwenye wakati mgumu,mf,umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa kama vipi tusimamie ule mradi wangu mpaka uajiriwe)khaa jamani yupo kama huyu?

aiiii labda wa zamani…