Mwanamme ni matchete

[ATTACH=full]226504[/ATTACH]
Mwarimo leo lazima alale Naivasha, middie haiwezi isha ivo tu. Machete imetoka kwa glider saa huu tu. Iko chini ya driver’s seat as I inhale my stick. Pamba ukiona KCK 5…ka kando meff wewe ndugu.

Ume upgrade kutoka kwa nduthi congrats teacher.

Hii ni toyota gani?

Eeh ndugu…niliona nduthi kifua itatoboka.

Mwalimu jipe raha. Lakini uchunge hiyo silaha isitumike kwako. Furahia

https://www.youtube.com/watch?v=Ec1PI0h0Cf4

Vitz 1300cc na sioni aibu hata…my First lady next to me.my kawambui hapo nyuma yangu.

You must be very fast if you want to use that… It’s not like a gun that you’ll cock and pull the trigger…

Hii ni ya incase akina @snapdragon wakitokea pale Muguga nazile mawe zao.

Hii niko very fast…yo rem 07 na mimi ni red eyed?

God Forbids, but in case of an accident , or hitting a pothole. don’t you think having a panga under the car seat will be disastrous ?

Asi!!! Would you use this on someone… and under what circumstances?

Boss hii unatoka nayo incase umepata puncture place mbaya…dont intend to chuck it out unless very necessary.

Nimeifunga freshi…in a carton ile yake

:D:D:D:D

:D:D
Isorait.
[ATTACH=full]226512[/ATTACH]

Is that you Mr jachieng.

Wewe konidiep…tuliza kende ama nimwage video fulani yako.

What you need is something small and compact if you going somewhere that puts question marks on your security. It’s very impractical to pull out a panga and swing it while seated in a car when things go tits up. Something like this US army world war 1 trench knife. It has brass knuckles and a skull crusher at it’s end.

[SIZE=3](Anyone to direct me where i can get something like this locally i will reward him or her.) [/SIZE]
[ATTACH=full]226527[/ATTACH]
Very easily concealed in your boots.
[ATTACH=full]226528[/ATTACH]

@Ice_Cube =Mukiri wa klepto

Dawa ya wezi ni panga…hii kitu ni ndogo for thugs to realise how serious I am…panga unatoa wanaiona wanajua huchezi…hii pengine kwa jacket ukisha ukelea mmoja then ahepe nayo kwa mgongo. Panga hakuna goon anakaribia ukisha chomoa. Then unapigisha chini…wote mitini literally