Mwanaume malaya wewe lazima upate mikosi!

Mwanaume malaya unachukua kimada changudoa,mlango wa kando,mchepuko,shugamamy unaenda kufanya naye mapenzi kwenye kitanda unacholala na mke wako.
Kitanda kilichompa mimba mke wako huoni kama hiyo ni laana.

Huyu ndo mwanaume malaya kuliko wotee alafu mnatumia mashuka mnayolalia na mkeo wewe na kimada chako kufanya mapenzi nyauuuu wewe.
Kwanza huwa hata hamfurahii maana mnakuwa mnaongea polepole watoto wasisikie chumba cha pili unaweza kuta mchepuko ameondoka bila kuoga kwa hofu ya kuonekana kwa watoto asubuhi asubuhi raha gani mnapata au ndo kero tu .

Mwanaume malaya siku zote ni bahili wa kila kitu kwann usiende hotelini mkachukue chumba mjiachie kwa raha na kuepusha mikosi.

Mwanaume unayefanya haya ndo malaya sana ila anayeenda lodge or hotelin na kutumia pesa zake kupata furaha ya sex huyo siyo malaya ni sponsor anayefaa.

Demiss Malaika.

demise, bado nangoja ugeuke…

Pole sana…

Inaskitisha kwa kweli… hii hata baadhi ya wanawake wanazo hizo tabia…

Mume akisafiri, nyuma njema linaingizwa ndani kwenda kujikunja…

Cc: @Mahondaw

Hii tabia wanayo wanaume na wanawake pia. Yaani uchepuke bado umpeleke mchepuko kwako?! Kufanya nini labda??? Ni upuuzi wa kiwango cha lami!

haya mliooa uwanja wenu huu mje kujitetea hapa malaya nyie

Ukiwafumania unawavunja viuno ili wapunguze nyege.

fanya ivi kama wewe sio mama wa nyumbani maana najiuliza tu ukimvunja kiuno utakula wapi

hahahaaaa! iyo haiumi, dawa yao ukiwakuta unakaa kimya huwauliz chochote na msosi unawapikia…

and vice versa pia

Aisee hii kali…

[SIZE=3]Aisee hii kali[/SIZE]

Haya wanaume malaya mkujeeee…

:oops::oops::oops:…

Vipi wakuu… Kuna mwenye anahusika kwenye mada tajwa hapo juu…???

Inashangaza…

Mi sihusiki kabisa…

Mume akisafiri mbona mbali, njema linapewa dose mchana mume usiku

Tuko kwenye match ya England na Panama

Panama leo watachezea kichapo cha mwanaume na mwanamke malaya,kichapo kitakatifu kisicho na huruma hata chembe

Tayari 5-0