Mwanaume mmoja nchini Marekani apiga simu polisi baada ya kufuatwafuatwa na nguruwe...

Mwanume mmoja nchini Marekani aamua kupiga simu ya dharula kwa polisi kuomba msaada baada ya kuona anafuatwa na nguruwe, akisema alikuwa hajui afanye nini.
Toa maoni yako

Me ningepiga simu kwa Shirima pale alete vijana wake tuwaishe mboga buchani

Angewapigua wauza supu angepata mkwaja

Nimemisi kichiri mbaya

Wanaume wa Dar huwa wanawala kwa beer hao

angeonekana tandale huku sidhani kama angechukua round…

Sasa huyo ni mwanaume wa Dar au mwanaume wa Marekani…

Alafu humu ndani wote ni ma- Villagers…

Cc: @Mahondaw

subiri wanaume wa daslam waje

tehteh… nilicheka sana leo Kuna koment moja eti haijalishi upo city center au kakonko sote ni villagers

Kwa sasa tutakuwa na wanaume wa Nairobi au Mombasa.

Huyo ni mdarisalama kaenda kutembea marekani…

KWANI HAKUWA NA KISU NYUMBANI KWAKE ALE NYAMA?

Atakuwa ama uhusiano na wamaume wa Dar

Duuuuuuuuu

Duh huyo shoGa, kidume unashindwaje cha kufanya