Mwanaume ni Kukaa Ngumu

[ATTACH=full]223419[/ATTACH]

As seen pale Berndora

:D:D:D… he is a legend.

Walikuwa wamekuja kijiji Mzima

huyu ako hall of fame

If he buys drinks for all of them, one or 2 of those ladies watampatia slices later ndio awakue main chick

:D:D:D

Ujinga hio ni kama kufanya kama ile story ya umbwa tulikua tuna soma kitambo ilikua na mfupa kwa mdomo kwa bridge alafuu na tamaa yake ikaona reflection yake kwa maji ikadhani ni mbwa ingine na mfupa kubwa kuliko yake ikarukia hio maji na hivyo ndio ilipoteza mfupa na ikakutana na crocodile mbele ikachunishwa sukuma

Wrong its like using a whole shark as bait to catch one tilapia . Hasara tupu!

:D:D:D:D:D:D

Hero

Beta male reasoning. At best madame wangeona ATM ya kutumia na respect ingeshuka hadi zero

Mtu hubuy moja moja alafu anaenda.

Sijaelewa chenye inafanyika

:D:D:D

Eh, Hats off!

Kori

Ur slow

his choice partner though…

kazi yao kuchat tu hapo, jamaa akinyonya fombe polepole