It was in 2012 tulikuwa tunatembea along river road around 10:30pm na rafiki yangu mmoja anaitwa Roy. Vile tulifika junction ya latema and river road tukashambuliwa na a 5 man gang. Roy akatoroka akaniwacha pekee yangu.
This is where the story gets interesting, nilikuwa nimelewa so vile nilishikwa nikaongea vibaya “tafuteni mabibi muwashike”. Manze nakwambia nilitolewa 2 syringes filled with brown liquid nikawekewa kwa shingo.
Vile hao wasee walikua wananipora wakaona mahali nilikuwa nimeweka simu. The gang leader akaambia his colleague “Mwas dunga huyu sindano, imagine anaficha simu”. Vile niliskia hivyo I almost pooped myself hao wasee niliwabembeleza wasinidunge. Niliwaambia “Mwas usinidunge sindano tafadhali sikuwa nimeficha simu”. As that was happening kuna mapoko walikua kando ya barabara wakishangilia ati " Uwa yeye" “Uwa yeye”. That was the longest 5 minutes of my life. Siku hizi sitembeangi river road usiku.
Hao watu waliniibia simu,pesa and my dignity. Na ndio kwa maana mimi husema mwizi akishikwa akiiba achomwe.