[ATTACH=full]179775[/ATTACH]nichek telegram @TomaaMireni
Mbona ziko nyingi sana mitaani au there is something so unique about them…?
Uko wapi?
Sijui ni mimi tu nimeona…?
Shuka -Bendera ya Chadema?
Utakuwa unapenda sana kulala inaonekana.
Hujakosea na utabiri wako…
:D:D:D ulikuwa unatafuta nini kitandani?..
Hata sijui, macho yameona tu…:oops::oops:
Okay, nipe zawadi ya ubashiri sahihi.
Ifuate chemba
Imebaki historia sasa toka 2015
Mtaani kwangu hakuna,zinakuja na Tecno cx