Mwigulu haruhusiwi kufanya mikutano jimboni mwake

THIS IS HOW GOED WORKS. NO DELAY
[ATTACH=full]181997[/ATTACH]

Hadi raha!

Tutaheshimiana tu, wao si waliona maisha ndio peponi…na bado,mpk akatwe ubunge 2020 ndio akili zitakaa sawa vizuri.

[SIZE=5][FONT=times new roman]Walifikiri ataishia kwa wapinzani tu sasa amewafata wao na bado ataendelea tu.[/FONT][/SIZE]

lakini kwa kweli hii ni mbaya sana. unajua huyu mwigulu alijitolea kufanya umafia kwa upinzani kwa “maslahi” ya CCM? unakumbuka yale mambo ya UGAIDI? unakumbuka vile vifo hasa kile cha kule Singida na Morogoro ambavyo vilitokea katika mfululizo wa operesheni za CHADEMA? Injinia alikuwa Mwigulu. lakini angalia sasa!!! Hilo ni fundisho tosha. watu wasijitoe akili kufanya mambo maovu eti kuisaidia CCM ili wakukumbuke. Majambazi huwa hawakumbukani na ni jambo rahisi tu kukupiga risasi ili yeye achukue mgao wako kwa fedha mliyoiba wote

Msisahau pia video ya ugaidi kwa mbunge Lwakatale iliyotengenezwa kupitia kwa Joseph Ludovick mfadhili alikuwa Mwigulu.

Mimi nashukuru kuwa yupo Mungu ambaye halali. Tusubiri anguko la watekaji, wauaji na wakanyaga katiba, naamini mbele ya Mungu hawako salama.

Kapokelewa na kufanya mkutano leo jimboni kwake

https://www.youtube.com/watch?v=Y8IZPp1yaQ0

Na awe makini kwa sababu anajua mengi!!!

Mcheza kwao hutuzwa.Wacha ajifariji maelfu wapi upande wake.Katumia maneno ya hekima pia mtaji muhimu mbeleni asikatwe.

Mkutano wa 2015

There’s no honour among thieves

maneno ya lisu yataishi

Safi sana anatafuta umaarufu kumzidi rais afutwe hata uanachama

Hakika

Haha

Ngoja tuone…

Cc: @Mahondaw

Naukumbuka ule wimbo wetu wa kampeni: Wacha waisome namba eeeeeh, CCM mbele kwa mbeleeeeee…
Sasa sijui kama namba zao ni za Kirumi au za Kiarabu…

Dogo alijisahau saana; wacha na yeye aonje joto ya jiwe; na asipotulia na kujipendekeza nomination ya CCM 2020 lazima awe mchezaji wa akiba.

Duh! Ama kweli muosha huoshwa! Huyu alijiona sasa na kuja na kila aina ya uongo wa kuwaharibia maisha Viongozi mbali mbali wa vyama vya upinzani na kuwafanyia manyanyaso mbali mbali ikiwemo kuwabambikia kesi FAKE, kuwateka na kuwaua huku akikaa kimya kuhusu manyanyaso hayo na mauaji hayo. Shambulizi la Kamanda Lissu la September, 2017 alikaa kimya kabisa bila ya kuamuru uchunguzi wowote ule kwa miezi 11 sasa.

Huyu wala hastahili kuonewa huruma. Dikteta kamshtukia huyu kwamba ni tishio kwa mwanae Bashite katika matarajio yake ya kumpa Uwaziri Mkuu 2020 na kumuachia Ikulu 2025. Dikteta anatazama mbali sana ni yupi anaweza kuficha maovu yake mbali mbali ikiwemo wizi wa trillions na mauaji ya Watanzania mbali mbali.

http://www.liberatetanzania.com/