Mwingine (chadema) ajeruhiwa

Break news.Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwikatsi kata ya Mamire Wilayani Babati nd.Simon Nade Lala kupitia Chadema ameumizwa vibaya kwa Mishale na Mapanga na watu wasiojulikana katika kitongoji cha Waloa akia katika kazi zake kama mwenyekiti na wajumbe wake wa serikali ya kijiji ,hali yake ni mbaya sana,Hospital ya mkoa wa Manyara imetoa rufaa kuletwa KCMC Mkoani Kilimanjaro kwa matibabu zaidi.Nipo KCMC kumpokea na kuangalia hali yake,nakushukuru sana Mh Basil Lema katibu wetu kwa maandalizi ya awali kumpokea na kupata huduma.

Kalist Lazaro.

https://www.kenyatalk.com/index.php?posts/1669619/

[ATTACH=full]177215[/ATTACH][ATTACH=full]177216[/ATTACH][ATTACH=full]177217[/ATTACH]

Ukiwa CHADEMA ni kama uko vitani, kufa na kupona yote yanawezekana!!

Yaani mara hii naona hata aibu imewaishia hawa Fisiem

Duhhh,watangaze tu kuwa hawataki upinzani

Tanzania imefikia hapa???

Yote Haya kwa Sababu ya siasa tuu Au tatizo Ni Nini haswa…Jamani tusifike huko Ndugu zangu chonde chonde

Aliyefikisha taifa letu hapo anafahamika wazi lakini kuna watu hawataki kumtambua kuwa no yeye mpaka hapo yatakapo wakumba wao au ndugu zao ndio akili itakubali

Tembeeni kifua mbele we are on raiti turacki, mamamake!!

Ndugu yangu #Mshangai kuna kauli ya wahenga inasema Leo kwangu kesho Kwako Ndio hayo yanakuja

Tunakoelekea siko kuzuri
Nalog off

Tunakoelekea siko kuzuri
Nalog off

[FONT=courier new]Na uzuri ni kwamba hata ’ Adui ’ yako anaweza akawa yumo humo humo CHADEMA ila kwa kujificha basi kikatumika ’ Kichaka ’ cha Chama fulani hivi ’ kuhusishwa ’ moja kwa moja na tukio lote / zima.[/FONT]

Yote yanawezekana lakini mara nyingi maadui wa wanachadema hawamo chadema bali upande wa pili.Viongozi wa chadema wanaoshambuliwa hushambuliwa mchana na wanaowashambulia hujulikana ila huwa hawachukuliwi hatua!

Imefikia kipindi sasa, kuna haja ya kuwa na vikundi kama boko haramu, Isisi, alshababu na Hezbollah. Maana upumbavu huu hauvumiliki, ina Maana Jamii Forum imezuiwa watauawa watu wengi sana. Maana watu watauawa alafu serikali itapiga kimiya na izo blog zilizosajiriwa zitapangiwa vya kupost tuuu mtandaoni, ambavyo ni vya kufurahisha viongozi

Inasikitisha sana kuona hapa JF , washabiki wengi wa siasa ni kweli wako kama nyumbu, wakiletewa habari yoyote , wao kazi yao ni kukurupuka tuu, NA kujiropokea, no basis of their support or comments,

Si tungoje ujue ukweli, jee ni pigo la kisiasa, ujambazi, madeni, Kazini NA mkee wa watu ama ni wivu wa nafasi ya kazi NA mshindani wake ndani ya chama

Na wewe una kasoro. Mazingira ya sasa ya kisiasa adui wa CDM ni serikali. There is no doubt about that. hayakuwepo nyuma mpaka alipokuja dikiteita

Ndio maana ni wajibu was serikali kufanya uchunguzi na kuja na majibu sahihi ili kuondoa utata kama huo. Sasa shambulio kama la Mawazo na kuuwawa kwake mchana kweupe na serikali haijachukua hatua yeyote unadhani watu watasema nini? Ona issue ya Lissu, IPO kweli sababu hata moja inayoweza kuitoa serikali kuhusika? Wamekataa wachunguzi huru pia nao hawataki kuchungiza

Tundu lissu alimiminiwa risasi,mawazo aliuliwa ila hadi leo hakuna ripoti yoyote ya uchunguzi…tukisema wanahusika tutakuwa tumekosea??

Inasikitisha tulipofikia

Anayetawala kwa upanag atatoka kwa upanga.