Mwisho wa mwezi (salo) kenyans & their peculiar habits

Status
Not open for further replies.

Jirani

Village Elder
#1
Leo ndio utapata karani/clerk wa Mhindi amekuvalia his best suit na ka - receptionist kadame kamekuvalia her best nguo..Siku ka leo pia ndio unaona wale wasee uomba uomba gazeti yako wasome leo watajinunulia gazeti..kwanza watanunua zote..Nation, Standard etc. Kisha unampata kwa bar and mind u ni msee ma changaa changaa 2nd generation alcohol drinker daily ..lakini leo he will be seen in a bar shouting his lungs out ATI WEWE JANE(BARMAID) NILISEMA CHAFUA MEZA 10 MINUTES AGO NA BADO UNANGETHIA NGETHIA..HAUJUI TUNAWEZA HAMA HII CLUB NA PIA TU CANCEL HIO NYAMA TUMEWEKESHA.

Leo ndio pia utaona ule mbuyu ambaye who bought a ride with a Loan but never drives it..leo ataitoa juu pesa ya ngata imepatikana...hawa ndio mafala uleta jam za ovyo tao: Ukiingia butcha unapata fala ambaye is only seen once in a while kwa butchery anakamu ana show butcha with confidence..ati weka kiro mbiiri..na usijaribu kuweka mafupa...

Ona mbuzi ingine inaweka picha FB alafu ina andika ati Fully paid & ready 2 get laid..Any ladies interersted please holla!! amepata malikes kama 20 from ladies prolly Gold diggaz
jqckpot.jpg
 

mayekeke

Village Elder
#20
huyu si ni mayeks?
Hehehe.... I don't solicit for pu**y on social media, hile iko nyumbani imenitosha... I know you're the village virgin :D:D:D so i'll tell you a secret to having pu**y thrown at you like stones being thrown at a Gor Mahia football match.

Have a nice crib beautifully furnished, dame atavua suruali kwa mlango
1468498_4884010475909_2688673496081844532_n.jpg

Dress sharp, viatu kali ni muhimu
11263729_10200482766509488_1655372426_n.jpg

Drive a nice car, ndio huyo @Mundu Mulosi akiosha gari yangu
10523866_10200105081667603_278855582756842729_n.jpg

.....and you won't have to flash money like the fool above to get a chance ya kupimanisha vitovu.
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.

Top