My Beloved Uncle part two

So after ango ameaingia na dem/momo wake,i excused myself nikaenda bedroom ya me.After sometime akakam akanishow ati wanadai kujitoa wapige maraundi mwenda kiasi then warudi.Being a good boy nikamshow nitamuekea key place ya kawaida,yaani hapo tu nyuma ya mlango.Sasa morning around six i feel someone tapping me on the shoulder.Kuangalia napata ni huyu momo.Kumuuliza mummy iko sida?.Ananishow nimpatie transport aishie.Ati mzae amekamua slices na akajitoa na excuse ya kuenda kunyora na hivyo ndo aliingia kichaka.Naona ni kama this bitch ananichezea,so i sent mzee a please call me and tell her angoje nipigiwe as i turn to face the wall nimalizie my dream.All this time msedes imesimama mbaya na nimejifunika sheet isionekane,wanaume wanaelewa hii.
After what seemed like an eternity my nigga calls.What he says leaves me surprised ,“pea hiyo mtu mia alafu umfukuze,ameniibia pesa kwa mfuko”
Sasa nashangaa iweje ameibiwa na yeye ndo ameepa.Hapa i sense ni pesa ya changaa wananihustle.All this time the momo is staring at me like am angel Gabriel drinking milk from a bottomless calabash.Naona it will be better nikimpa soh hata kama nimecheswa ajitoe tu.I reach at the far end of my pocket.I usually go to bed with a one specific short iko na mfuko safe hua naeka hapo mbesa ndo kitambo mtu azifikie nitakua nishaamka.In the pockets i can only feel two small coins and my balls.Mimi ni ule msee nahesabianga mbesa kwa mfuko na naeza kukutofautishia noti ya soh ya Kenyatta na ya Moi bila kuzitoa nje ya mfuko.
Napiga mahesabu naona hapa ni kukula vector tu.I tell the momo naendea credo nikisaka change nimletee soh ajitoe.Hapo hata sijabrush meno wala kuoga.Nimepitia uko nikienda job nikakunywa chai kwa kibandaski
I dont care cuz kule hakuna kitu cha kuiba,labda achukue radio ya huyu jamaa…its the only valuable thing i see there.

Sasa Unataka usaidiwe Na nini?

The minute I read that msedes ulikuwa at attention I expected to read that ulikamua… I would have stopped reading.

:D:D:D:D:D

:smiley: hii hekaya si imejazana ufala joh

All this time the momo is staring at me like am angel Gabriel drinking milk from a bottomless calabash.
hapa ndio ulianzia ujinga ya raima my brother

:D:D:D:D:D hekaya ya upusssssssssssss

ni ujinga mtupu tu ume andika inafaa uiweke kwa section ya ‘Cheki Maneno’ Unge ongeza kasukari utudanganye venye ulikuta vitu

Nilikuwa nafikiria jamaa amepindua momo kama chapo na kuzamisha nanga.ooooh no.

Hehe … yenyewe huyu mchingo @Ching Cheng ana ufala mob

I expected something like nikajiambia hata maji chafu huzima moto

:D:D:D:D:D:D:D:D:D