MY CONFESSION

culture

Village Elder
#1
Ten years ago while high school i slapped my eanglish teacher....
It was 2006 i think june i was in a day school,when this madam bones {as in alikuwa mifupa tupu}came for her eanglish class.mimi nilikuwa nakaa pale backbench na mdem mwingine nilikuwa najifunza nayeye kufikisha threshold kila weeked kwa cube ya mine iliyoshikana na kitchen.moshi nayo...wenye wamesomea ocha najua mnaelewa kitu nasema.

Back to hekaya.....sasa teacher ameingia na kunipata nimekalia desk hapo juu nikipiga tu makelele.akanishow niende pale mbele nipige magoti.mimi kama culture nikasema nimebakisha miezi kadhaa nitoke hii chuo siwezi pig magoti.nikaenda pale mbele but nikakwara ,akajaribu kunichuna masikio akinivuruta huku akinitusi.

mtu wangu ile kofi niliwekelea huyo mmama hata waleo mi ukumbuka najiuliza maswali mob sana...class ilinyamaza kama makaburini.alitoka kama anapiga nduru hadi staffroom..kidogokidogo nikasikia madem walikuwa wanakaa pale kwa mlango wakisema jeshi ya teachers wanamme wanakam.nilivukia kwa dirisha tulikuwa tumekata wire mesh pale nyuma ya class.mzae alinirudisha after 2days hivi za kujifanya sisikii poa.wacha achapiwe ukweli ...............to be continued
 
Mr Esquire

Village Elder
#2

Bwana VE, Seems your problem with the English teacher was not limited to the teacher but extended to the language itself.
 
culture

Village Elder
#11

Top