MY CONFESSION

Ten years ago while high school i slapped my eanglish teacher…
It was 2006 i think june i was in a day school,when this madam bones {as in alikuwa mifupa tupu}came for her eanglish class.mimi nilikuwa nakaa pale backbench na mdem mwingine nilikuwa najifunza nayeye kufikisha threshold kila weeked kwa cube ya mine iliyoshikana na kitchen.moshi nayo…wenye wamesomea ocha najua mnaelewa kitu nasema.

Back to hekaya…sasa teacher ameingia na kunipata nimekalia desk hapo juu nikipiga tu makelele.akanishow niende pale mbele nipige magoti.mimi kama culture nikasema nimebakisha miezi kadhaa nitoke hii chuo siwezi pig magoti.nikaenda pale mbele but nikakwara ,akajaribu kunichuna masikio akinivuruta huku akinitusi.

mtu wangu ile kofi niliwekelea huyo mmama hata waleo mi ukumbuka najiuliza maswali mob sana…class ilinyamaza kama makaburini.alitoka kama anapiga nduru hadi staffroom…kidogokidogo nikasikia madem walikuwa wanakaa pale kwa mlango wakisema jeshi ya teachers wanamme wanakam.nilivukia kwa dirisha tulikuwa tumekata wire mesh pale nyuma ya class.mzae alinirudisha after 2days hivi za kujifanya sisikii poa.wacha achapiwe ukweli …to be continued

Bwana VE, Seems your problem with the English teacher was not limited to the teacher but extended to the language itself.

Karma is a big B!
Now you n osungu can’t share a room!

Hekaya ya umang’aa ya kunia juu ya choo sio kitu ya kutuwekea to be continued.

Below par!

2006 ulikua high school na hapa vile unasumbua? Ujue baba bado alikua candidate by then

F.uck maliza

hata Mimi kuna mwalimu alinikasirisha nikavumilia juu ile vita ningepata nyumbani wacha tu

Bado tunangoja part 2.

kuwa mpole

wakubwa makosa ufanyika.niliandika na mbio na sikupata time ya kuedit.i had other pressing issues to attend to.kosoa makosa badala ya kuongea kama nv.meffi nyinyi

sawa mkubwa

what about your sweahili teacher?

:D:D:D:D

Osungu DLL.

More importantly wapi effidens ya mifupa macho iogeshwe hii solar tao ni mob

:D:D:D:D:D:D hapa hao walimu ma white knight kina @gashwin wangekuuwa

I wish ungejiekea hii hekaya…

KizunguMkuki.

:Dniliona siwezi ngoja madze

kwani wazazi wako wakuitwa shule uvunjue wewe pia kwa kuchapa mwalimu?