• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

My Dream Car

junkie

Village Elder
#10
barabara ni excuses tu...hujaona gari iko chini hii design around? kenyans ni vile hawapendi kubahatisha, wanataka zile watu watasema,'ooh, haikunywi sana, spares ziko .."available and stuf
Kuna gtr ya brown inakujanga pale usiu.watching that car go over a bump is painful coz it scratches vibaya sana.I personally would love to own a low lying fast car but our roads are too pathetic
 
byro

Village Elder
#11
I had to google hii mazda carol.

To be honest..Inakaa gari ya mchawi
ni ya wachawi..wanatumia hizi hazina boot ndio akipewa kuku black na mbuzi from clients, anakaa nazo hapo ndio azitulize.ni kubwa, inaingia hadi ng'ombe. At the end the pungent smell (concoction from all animals) makes client believe that the witch has given birth to self and can handle any shit.
 
Afro

Village Elder
#13

:eek:
:D:D:D:D
 
Top