vipi wana kijiji? sasa jana niliblanda nika text ex wangu nikiwa ma vitu, (one of the biggest mistake I've done this year) nilimsho vile na mmiss na vitu zingine nilikuwa nimejifungia kwa roho kwa muda. Akanicall akisema vile pia yeye amenimiss na kama nishapata dem mwingine, nikamsho bado,naye pia akanisho hajawahi lakini amekuwa akiongea sana na ex wake before mimi, akasema ati tukirudiana tutarudi kukosana tena kama awali, nikamsho hata sidai kumrudia pengine tu tusaidiane hii wakati wa baridi, alikata simu na hajanicall tena. Inaweza kuwa ni credo yake iliisha ama simu iliisha charge ama aliboeka na hiyo story? Picha nitaweka kwa comment section