My Ex

vipi wana kijiji? sasa jana niliblanda nika text ex wangu nikiwa ma vitu, (one of the biggest mistake I’ve done this year) nilimsho vile na mmiss na vitu zingine nilikuwa nimejifungia kwa roho kwa muda. Akanicall akisema vile pia yeye amenimiss na kama nishapata dem mwingine, nikamsho bado,naye pia akanisho hajawahi lakini amekuwa akiongea sana na ex wake before mimi, akasema ati tukirudiana tutarudi kukosana tena kama awali, nikamsho hata sidai kumrudia pengine tu tusaidiane hii wakati wa baridi, alikata simu na hajanicall tena. Inaweza kuwa ni credo yake iliisha ama simu iliisha charge ama aliboeka na hiyo story? Picha nitaweka kwa comment section

Talk about fucking up your own shit. Hapo sasa Ingia damage control mode, jidai nilikuwa nakupima na what not … or man up screw that bitch and move on.

Boss ni credo iliisha so be a sport and send her 500bob…

kumagwo, guticokagwo[ATTACH=full]9162[/ATTACH]

5 Likes

Ukitaka uishi siku nyingi…never ever text or chat with anyone when drunk. But majority of people are so anti-social such that after two beers,they flash out their phones na kuweka data connection on. They regret the day after.

1 Like

ebu tumia yeye your basic salary utaona aki

Rwamucoka ,niguo ruriaga mundu…acha atafakali hayo

3 Likes

hehehe

1 Like

Mimi naona ni charge… Hizi simu zinamaliza charge haraka! Afadhali mulika mwizi…

1 Like

Lakini ungerushia kuku mtama sio kukimbiza kama mbwa

1 Like

Unajiitaje DRANYA na wewe ni chali???

I cant fathom this!

http://i.imgur.com/6bZsoo2.jpg

2 Likes

Fuck up this shit kuna siku i was super wasted ile ya auto pilot kubleki kurauka asubuhi naangalia call logs fuck naona niliongea na ex for 47mins and i swear sikumbuki nilisema nini !!! Suffice to say alinitex kuniambia “karma is a biatch it comes back to bite you in the a*** thank God the bitch you left me for dumped your silly a***”
Wacha tuseme tu i deleted the msg

4 Likes

That’s wat we call 10 Nil…dude

hehehehe pole boss

You just made her night am sure she slept well remembering your narrative of how you were dumped,

1 Like

You have the msg in your head but what you write is utter jibberish…hehe

Unafaa udeal na hizo vitu zinakusumbua rohoni ama next time utarudia tu tena. Kwako nasema #mwagapombe

Ulevi na simu wachana, the only person I call when I am drunk is my wife. She always finishes the conversation with the frace “na umelewa wewe”.

3 Likes

an anagram for farce…

2 Likes

inaitwa acoholic autopilot, brings out those supressed feelings. Boy get uaself a girl and all will be well